Lil Wayne ashtakiwa na mpishi wake

Lil Wayne ashtakiwa na mpishi wake

Rapa Lil Wayne ameshtakiwa na mpishi wake wa zamani ambaye amedai kwamba alifukuzwa kazi kimakosa kwasababu alienda kumuuguza mwanae mwenye umri wa miaka 10.Kwa mujibu wa Blast mpishi huyo Morgan Medlock  anasema kwamba alifukuzwa kazi baada ya kuondoka pale alipogundua kuwa mtoto wake amepata majeraha ya kichwa Morgan ambaye kwa wakati huo alikuwa mjini Las Vegas pamoja […]

Read More
 Lollipop ya Lil Wayne yafikia mauzo ya Diamond

Lollipop ya Lil Wayne yafikia mauzo ya Diamond

Rapa kutoka Marekani Lil Wayne amefikia rekodi ya mauzo ya Diamond ambayo ameinasa kupitia single yake “Lollipop” iliyotoka mwaka 2008. “Lollipop” ambayo Lil Wayne alimshirikisha Static Major ambaye alifariki wiki mbili kabla ya kuachiwa kwa wimbo huo, unakuwa wimbo wa kwanza kwa mtu mzima Wayne kufikia mauzo hayo. Sanjari na hilo, wimbo huo ndio wimbo […]

Read More
 LIL WAYNE APIGWA MARUFUKU KUTUMBUIZA UINGEREZA

LIL WAYNE APIGWA MARUFUKU KUTUMBUIZA UINGEREZA

Rapa Lil Wayne amezuiliwa kuingia nchini Uingereza kuelekea kwenye tamasha la Strawberries & Creem. Waandaaji wa tamasha hilo wametoa taarifa isemayo, Lil Wayne amezuiliwa dakika za mwisho na wamesikitishwa na uamuzi huo wa wizara ya Mambo ya Ndani kwani Wizzy alikuwa msanii Kinara wa tamasha hilo. Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Ndani nchini Uingereza […]

Read More