WEEZDOM ALAMBA SHAVU LA KUWA BALOZI WA KAMPUNI YA UWEKEZAJI YA LIMAVEST
Msanii wa muziki nchini Weezdom amelamba dili nono la kuwa balozi wa kampuni ya uwekezaji ya Limavest. Weezdom ametengaza habari hiyo njema kwa mashabiki zake kupitia ukurasa wake wa instagram huku akieleza kuwa ana furaha kujiunga na familia ya LimaVest “Najivunia Kukutangazia Kuwa Mimi ndiye Balozi Mpya wa limavest Na tuna Bidhaa mpya yenye bei […]
Read More