LINEX AACHIA PROJECT YAKE – TATU ZA MJEDA

LINEX AACHIA PROJECT YAKE – TATU ZA MJEDA

Mkali wa muziki  Bongofleva Linex Mjeda ameachia rasmi EP yake mpya inayokwenda kwa jina la tatu za Mjeda. Tatu za Mjeda  EP ina jumla ya ngoma tatu za moto na bonus track moja ambapo amewashirikisha wakali kama Darassa na Belle 9. EP hiyo ina nyimbo kama Sherehe,Sina cha kupoteza na Siwema na inapatikana ‘Exclusive’ kupitia […]

Read More