LINEX SUNDAY MJEDA AACHIA EP YAKE MPYA

LINEX SUNDAY MJEDA AACHIA EP YAKE MPYA

Msanii wa Bongofleva Linex Sunday Mjeda ameachia rasmi EP yake mpya ya nyimbo za Dini, ikiwa ni mara ya kwanza kufanya hivyo tofauti na alivyozoeleka akiimba nyimbo za kidunia. EP hiyo ambayo ameipa jina la My Side B ina jumla ya nyimbo 4 za moto ambazo amezifanya bila kumshirikisha msanii yeyote. EP hiyo ina nyimbo kama “Umepotea”, […]

Read More
 LINEX MBIONI KUACHIA EP YENYE NYIMBO ZA DINI

LINEX MBIONI KUACHIA EP YENYE NYIMBO ZA DINI

Nyota wa muziki wa Bongo Fleva, Linex Mjeda yupo mbioni kuachia EP yake mpya ya nyimbo za Dini, ikiwa ni mara ya kwanza kufanya hivyo tofauti na alivyozoeleka akiimba nyimbo za kidunia. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Linex amezungumzia ujio wa EP yake, kwa kusema kwamba alikuwa na ndoto ya kutoa kazi yenye nyimbo za […]

Read More