Sergio Aguero amkingia kifua Lionel Messi kufuatia madai ya kuidhihaki nchi ya Mexico
Mshambuliaji wa zamani wa Argentina Sergio Kun Aguero ameibuka na kumkingia kifua nyota wa Taifa hilo Lionel Messi kufuatia madai ya kuidhihaki nchi ya Mexico kwa kuikanyaga Jezi ya timu yao ya Taifa baada ya mchezo wa Kombe la Dunia. Madai hayo yameibuliwa na bondia maarufu wa Mexico Canelo Alvarez ambaye kupitia twitter, ametoa vitisho […]
Read More