Shabiki Achora Tattoo Yenye Jina la Willy Paul Kifuani Mwake

Shabiki Achora Tattoo Yenye Jina la Willy Paul Kifuani Mwake

Mwanamke mmoja raia wa Kenya ambaye ni shabiki mkubwa wa mwanamuziki Willy Paul ameshindwa kuficha upendo wake kwa msanii huyo kiasi cha kuchora tattoo jina lake kifuani . Shabiki huyo aliyetambuliwa kama Lizah Njeri awali alikuwa ameandika bango au poster akikiri mapenzi yake kwa mwanamuziki huyo ambapo alitembea katika mitaa ya Nairobi akiwa amebeba bango […]

Read More