Lizer Classic Awataka Wasanii Kuchukua Hatua Dhidi ya Wanaoripoti Kazi Zao YouTube
Prodyuza mahiri wa muziki nchini Tanzania, Lizer Classic, ameendelea kueleza hasira zake dhidi ya baadhi ya wasanii chipukizi (underground) ambao wamekuwa wakiripoti kazi za wasanii wakubwa kwenye YouTube kwa lengo la kujipatia umaarufu na fedha kupitia skendo hizo. Kupitia Instagram, Lizer ametoa mfano wa kisa kilichomhusu msanii nyota Nandy, ambapo moja ya kazi zake iliripotiwa […]
Read More