Lizzo Atoa Onyo kwa Marafiki wa Mafanikio: ‘Si Kila Rafiki ni wa Kweli’

Lizzo Atoa Onyo kwa Marafiki wa Mafanikio: ‘Si Kila Rafiki ni wa Kweli’

Msanii maarufu wa muziki wa pop na R&B, Lizzo, amezua gumzo mitandaoni baada ya kutoa kauli yenye mashiko kuhusu msanii mwenzake ambaye alianza kumkaribia tu baada ya yeye kupata umaarufu mkubwa. Akizungumza na podcast moja nchini Marekani, Lizzo amesema kuwa mtu huyo walikuwa wakitumbuiza naye katika maonyesho madogo kabla hajapanda chati za mafanikio, lakini hakuwahi […]

Read More