LJAY MAASAI AKIRI KUPATWA NA MSONGO WA MAWAZO KIASI CHA KUTAKA KUJIUA
Mwanamuziki L Jay Maasai ameamua kutoa ushuhuda wa ndani kuhusu maisha yake,amefunguka kwamba aliwahi kutaka kujiua mara tatu. Kwenye mahojiano na SPM Buzz, msanii huyo amefunguka mengi kuhusu tatizo la afya ya akili na safari yake ya kupona kwa kusema kwamba aliingia kwenye msongo wa mawazo baada ya watu kumchukulia kuwa ana tajiiri mkubwa aliposhinda […]
Read More