NADIA MUKAMI KURUDISHA FADHILA KWA JAMII KUPITIA LOLA & SAFARI FOUNDATION
Msanii Nadia Mukami amehamua kurudisha fadhila kwa jamii kupitia wakfu wake wa Lola & Safari. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Nadia Mukami amesema siku ya kina Mama Duniani Mei 8, wakfu wa Lola & Safari umeamua kuandaa hafla ya kuwasherekea kina mama wenye umri mdogo huko jijini Nairobi ambapo watatoa elimu na msaada wa vyakula […]
Read More