Davido Atoa Sababu za Kutoshiriki Tamasha la London

Davido Atoa Sababu za Kutoshiriki Tamasha la London

Msanii maarufu wa muziki wa Afrobeats kutoka Nigeria, Davido, ametangaza kujiondoa rasmi katika tamasha kubwa la muziki lililopangwa kufanyika katika uwanja wa Tottenham Hotspur jijini London, ambalo lilitarajiwa kufanyika Julai 2025. Tamasha hilo lilikuwa linamjumuisha pamoja na wakali wa muziki kutoka Marekani, 50 Cent na Mary J. Blige. Kupitia taarifa aliyoitoa kwenye mitandao ya kijamii, […]

Read More
 Chris Brown Aachiliwa kwa Dhamana ya Dola Milioni 6.7 London

Chris Brown Aachiliwa kwa Dhamana ya Dola Milioni 6.7 London

Msanii mashuhuri wa R&B kutoka Marekani, Chris Brown, ameachiwa kwa dhamana ya dola milioni 6.7 (takriban Shilingi bilioni 1) na mahakama mjini London baada ya kufunguliwa mashtaka ya kushambulia mtu bila sababu katika kilabu usiku mnamo mwaka 2023. Chris Brown mwenye umri wa miaka 36, ambaye ameshawahi kushinda tuzo ya Grammy, bado hajaombwa kutoa ombi […]

Read More