Esperance Yaipa Flamengo Tiketi ya Mapema, Yaweka Presha Kwa Chelsea
Klabu ya Esperance Tunis kutoka Tunisia imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Los Angeles FC ya Marekani katika mchezo wa Kundi D wa Kombe la Dunia la FIFA ngazi ya klabu, na hivyo kuweka matumaini ya kufuzu hatua ya 16 bora. Bao pekee la mchezo huo lilifungwa na Belaili dakika ya 71, ambalo […]
Read More