Mahakama yatupilia mbali kesi iliyowasilishwa na Luba Events dhidi ya msanii Eddy Kenzo
Mwimbaji kutoka nchini Uganda Eddy Kenzo ana kila sababu ya kutabasamu baada ya mahakama kutupilia mbali kesi iliyowasilishwa na Luba Events kumzuia kutumbuiza jijini Kampala. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Kenzo amewataarifu mashabiki zake kuwa ameruhusiwa tena kutumbuiza jijini Kampala kufuatia kesi ya Luba Events kukosa ushahidi wa kutosha mahakamani. Kenzo ambaye kwa sasa yupo […]
Read More