QUEEN LATIFAH NA LUDACRIS KUONEKANA KWENYE FILAMU MPYA NETFLIX

QUEEN LATIFAH NA LUDACRIS KUONEKANA KWENYE FILAMU MPYA NETFLIX

Marapa Queen Latifah na Ludacris kutoka Marekani wataonekana kwenye filamu mpya ya Netflix “End Of The Road” ambayo itaachiwa rasmi September 9, mwaka wa 2022. Filamu hiyo itagusa maisha ya mjane mmoja (Brenda) ambaye ndiye Queen Latifah, baada ya kufutwa kazi akaamua kuichukua familia yake na kuondoka kwa ajili ya kuanza maisha mapya. Wakati wapo safarini (Road Trip), walisimamishwa katikati ya Jangwa, New Mexico bila msaada wowote. Muuaji hatari alianza kuwafuatilia. Brenda na familia wanatakiwa kujifunza kupambana ili kuweza kujiokoa kwenye sekeseke hilo

Read More
 LUDACRIS KUTUNUKIWA SHAHADA YA HESHIMA

LUDACRIS KUTUNUKIWA SHAHADA YA HESHIMA

Rappa kutoka Marekani Ludacris anatarajiwa kutunukiwa Shahada ya Heshima kutoka Chuo Kikuu alichosoma cha Jimbo La Georgia. Ludacris anatarajia kutunukiwa Shahada ya heshima ya Sayansi katika maswala ya muziki ‘Bachelor of Science degree in Music Management’. Mkali huyo ambaye anatajwa miaka kadhaa nyuma aliacha kuhudhuria kwenye masomo chuoni hapo mara baada ya kusaini mkataba wake na Def Jam Records. Hata hivyo, mwaka 2019 alianza kurudi chuoni hapo kusaidia wanafunzi kwenye maswala ya ujasiriamali katika tasnia ya muziki na filamu.

Read More