Luis Enrique aachana na timu ya Taifa ya Hispania

Luis Enrique aachana na timu ya Taifa ya Hispania

Kocha Luis Enrique ameachana na timu ya Taifa ya Hispania, ikiwa ni siku chache baada ya timu hiyo kutolewa na Morocco katika mashindano ya Kombe la Dunia yanayoendelea Qatar. Shirikisho la Soka Hispania ( RFEF) limethibitisha. RFEF ilitoa taarifa ya kumshukuru Enrique kwa huduma yake na kueleza nia yake ya kuanzisha mradi mpya wa timu […]

Read More