Lukenya University Yapanga Mbio Kubwa Zaidi 2026
Mbio za marathoni za Lukenya University Ten Million Trees zimeratibiwa kurejelewa mwaka ujao, huku waandalizi wakithibitisha kuwa makala ya nne yataandaliwa tarehe 28 mwezi Machi mwaka 2026, mjini Mtitu Andei. Kulingana na waandalizi mbio hizo zinatarajiwa kuwa kubwa zaidi huku mashindano hayo yakishirikisha mbio za wanariadha wenye uzoefu na washiriki wengine. Kilele cha mashindano hayo […]
Read More