LYDIA JAZMINE AKIRI HADHARANI KUMZIMIA EDDY KENZO KIMAPENZI
Kwa miaka mingi sasa msanii Lydia Jazmine amekuwa akihisishwa kutoka kimapenzi na Eddy Kenzo. Wakati Eddy Kenzo aliachana na baby mama wake Rema Namakula mashabiki walimtuhumu kwamba yeye ndiye chanzo cha ndoa ya Bosi huyo wa Lebo ya muziki ya Big Talent kuingiwa na ukungu. Sasa akiwa kwenye moja ya Interview Lydia Jazmine amedokeza kwamba […]
Read More