Mrembo wa Kenya Akataa Ndoa na Kuzaa Watoto
Socialite mwenye utata nchini Kenya, Lydia Wanjiru, amefunguka na kuweka wazi msimamo wake kuhusu maisha ya ndoa na uzazi, akisema wazi kuwa amechagua kuishi maisha bila kuolewa wala kuzaa watoto. Kupitia Instastory yake, Lydia amesema uamuzi huo ni wa hiari yake binafsi na umetokana na kutaka kuishi maisha yanayompa amani, uhuru na fursa ya kujijenga […]
Read More