LYNN AKIRI KUTOKA KIMAPENZI NA DIAMOND PLATNUMZ

LYNN AKIRI KUTOKA KIMAPENZI NA DIAMOND PLATNUMZ

Video vixen aliyegeukia muziki wa Bongofleva Lynn amemtaja ‘Simba’ kama ndiye Boyfriend wake kwa sasa. Jina la simba limeibua hisia mseto miongoni mwa mashabiki zake ambapo wengi wameenda mbali na kuhoji huenda mrembo huyo ana mahusiano na Diamond Platnumz ambaye amekuwa akitumia jina hilo. Katika hatua nyingine, Lyyn aliyetaja umri wake ni miaka 23, amesema […]

Read More