ALBUM YA MASH MWANA “MAAJABU” YAACHIWA RASMI KWENYE DIGITAL PLATFORMS ZOTE DUNIANI.
Mwimbaji wa nyimbo za injili nchini Mash Mwana, ameachia rasmi album yake mpya iitwayo “Maajabu the album”. Album hiyo ina jumla ya mikwaju 12 ya moto huku ikiwa na kolabo 8 kutoka kwa wakali kama Irene Robert, Daddy Owen, Guardian Angel, Levixone,Walter Chilambo,Mr Seed, Jabidii, Didi Man,na Boss MOG. “Maajabu the album ina nyimbo kama […]
Read More