MAANDY AACHIA TRACKLIST YA ALBUM YAKE MPYA
Msanii wa Kike nchini Maandy hatimaye ameachia rasmi Cover na orodha ya nyimbo zitakazopatikana kwenye album yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘Frisky” Kulingana na orodha ya nyimbo kupitia mtandao wa Instagram Maandy amethibitisha kuwa album yake ya Frisky inatarajiwa kuwa na nyimbo 12 ya moto, akiwa amewashirikisha wasanii watatu pekee ambao ni Breeder […]
Read More