KUNDI LA MABANTU LATUNUKIWA TUZO NA YOUTUBE KWA KUFIKISHA SUBSCRIBERS LAKI MOJA
Kundi la muziki nchini Tanzania Mabantu ambalo linaundwa na msanii Muuh na Twaah limetunukiwa tuzo ya Silver Play Button na mtandao wa wa kustream muziki wa Youtube baada ya kundi hilo kufikisha jumla ya subscribers laki moja kwenye mtandao huo. Mabantu wametumia ukurasa wao wa instagram kuwashukuru mashabiki wao kwa kuwapa support kwenye muziki wao […]
Read More