Stevo Simple Boy na Mkewe Brenda Watarajia Mtoto wa Kwanza

Stevo Simple Boy na Mkewe Brenda Watarajia Mtoto wa Kwanza

Msanii wa muziki wa hip hop nchini Kenya, Stevo Simple Boy, amefichua habari njema kuhusu maisha yake ya kifamilia kwa kutangaza kuwa mkewe, Brenda, ni mjamzito wa miezi mitatu. Stevo alitoa tangazo hilo kwa furaha wakati wa mahojiano maalum na mchekeshaji Tumbili, ambapo alikuwepo pamoja na mkewe Brenda. Akiwa mwenye bashasha, msanii huyo alieleza kuwa […]

Read More
 Meneja wa Stevo Simple Boy Adaiwa Kumdhulumu Kifedha, Wakili Aingilia Kati

Meneja wa Stevo Simple Boy Adaiwa Kumdhulumu Kifedha, Wakili Aingilia Kati

Msanii maarufu wa muziki nchini Kenya, Stevo Simple Boy, amezua gumzo tena baada ya yeye na mkewe Brenda kufanya ziara kwa Mfanyibiashara Sarah Mtalii na kufunguka kuhusu changamoto zinazomkumba msanii huyo hasa kuhusu usimamizi wake wa kazi. Katika mahojiano hayo, Brenda alionyesha masikitiko makubwa kuhusu namna ambavyo Stevo anavyotendewa na meneja wake, Machabe Geoffrey. Brenda […]

Read More
 Machabe Akanusha Madai ya Kumzuilia Stevo Simple Boy Nyaraka na Taarifa za Akaunti za Mitandao ya Kijamii

Machabe Akanusha Madai ya Kumzuilia Stevo Simple Boy Nyaraka na Taarifa za Akaunti za Mitandao ya Kijamii

Aliyekuwa meneja wa msanii Stevo Simple Boy, Machabe, amejitokeza na kukanusha madai yanayosambaa kwamba amekataa kumrudishia nyaraka muhimu na taarifa za kuingia (logins) katika akaunti za mitandao ya kijamii za msanii huyo baada ya kutengana kikazi. Katika taarifa kwa vyombo vya habari na kupitia mitandao ya kijamii, Machabe amesema madai hayo si ya kweli, na […]

Read More
 Machabe Aondoka Rasmi Kwenye Timu ya Stevo Simple Boy, Adai Mke wa Msanii Anaingilia Masuala ya Usimamizi

Machabe Aondoka Rasmi Kwenye Timu ya Stevo Simple Boy, Adai Mke wa Msanii Anaingilia Masuala ya Usimamizi

Meneja wa msanii Stevo Simple Boy, Machabe, ametangaza kuachana rasmi na usimamizi wa msanii huyo, akitoa madai ya kuingiliwa kwa majukumu yake na mke wa Stevo. Kwa mujibu wa taarifa aliyoitoa kwa vyombo vya habari, Machabe amedai kuwa mazingira ya kazi yamekuwa magumu kiasi cha kushindwa kutekeleza majukumu yake kwa weledi. Katika mahojiano maalum, Machabe […]

Read More