Morocco na Madagascar Wafuzu Fainali za CHAN
Timu za taifa za Morocco na Madagascar zitarudi jijini Nairobi kucheza fainali za mashindano ya Afrika kwa wachezaji wa nyumbani (CHAN), baada ya kushinda mechi zao za nusu fainali dhidi ya Senegal na Sudan mtawalia. Morocco ilibandua mabingwa watetezi Senegal kwa mikwaju ya penati baada ya mchezo kumalizika kwa sare ya bao 1-1 katika muda […]
Read More