Maddox Ssematimba Awasihi Wasanii wa Uganda Kuthamini Muziki wa Asili
Mwanamuziki nguli kutoka Uganda, Maddox Ssematimba, amesisitiza umuhimu wa wasanii wa Uganda kuendeleza ubunifu na uhalisia wa muziki wa ndani badala ya kunakili mitindo kutoka mataifa mengine, hususan Nigeria. Licha ya kutotoa nyimbo mpya kwa muda mrefu, Maddox bado anaheshimika kama nguzo muhimu ya muziki wa Uganda, akiwa maarufu kwa vibao vyake vya kihistoria kama […]
Read More