KUNDI LA MUZIKI WA GENGETONE, BOONDOCKS GANG LAVUNJIKA RASMI

KUNDI LA MUZIKI WA GENGETONE, BOONDOCKS GANG LAVUNJIKA RASMI

Msanii wa kundi la Boondocks Gang, Madoxx amethibitisha rasmi kuvunjika kwa kundi hilo ambalo lilikuwa linaundwa na wasanii Exray na Odi wa Muranga. Katika Mahojiano yake ya hivi karibuni na Presenter Ali, Madoxx amesema wasanii waliokuwa wanaunda kundi hilo Exray na Odi walianza kumtelekeza kwa kumu-unfollow kwenye mtandao wa Instagram mara baada ya kuachia wimbo […]

Read More