Penzi la Pritty Vishy na Madini Classic laingiwa na ukungu
Mrembo maarufu mtandaoni nchini Pritty Vishy amethibitisha kutokuwa na maelewano mazuri na mchumba wake msanii Madini Classic. Kwenye mahojiano yake hivi karibuni Mrembo huyo amesema kwa muda sasa hawajakuwa pamoja na Madini Classic kutokana na ugomvi ulioibuka kati yao juzi kati. Vishy amedai kwamba kwa sasa wapo kwenye mchakato wa kutatua tofauti zao huku ukisisitiza […]
Read More