MADOCHO WA KANAIRO ALAMBA SHAVU YA UBALOZI NCIC

MADOCHO WA KANAIRO ALAMBA SHAVU YA UBALOZI NCIC

Msanii maarufu wa tattoo nchini Kenya Madocho wa Kanairo amelamba shavu la kuwa balozi wa Tume ya uwiano na utangamano NCIC. Akizungumza baada ya kutangaza kuwa balozi wa tume hiyo, Madocho amewataka vijana kote nchini kujitenga na uhalifu pamoja na kueneza chuki mitandaoni kwa kutumia maneno ambayo hayawezi kuchochea na kuleta uhasama miongoni mwa wa […]

Read More