Madonna atua mtaa wa Kibera nchini Kenya
Mwimbaji wa Marekani, Madonna ambaye tangu mwishoni mwa mwaka jana amekuwa katika ziara ya Krismasi barani Afrika, ametembelea mtaa wa mabanda wa Kibera jijini Nairobi nchini Kenya na kujumuika na watoto waliofurahia kukutana naye. Mkongwe huyo mwenye umri wa miaka 64 licha ya kuonekana mbichi alifurahia kazi ya Kennedy Odede, muasisi wa shirika lisilo la […]
Read More