Rabadaba kutimuliwa nchini Uingereza kwa kukiuka sheria za uhamiaji
Sakata la ndoa ya msanii Rabadaba limechukua sura mpya baaada ya mke wake Maggie kutishia kutumia nguvu kumrejesha nchini kwao Uganda kwa kile alichokitaja kuwa mwanamuziki huyo alitumia njia ya magendo kuhamia nchini uingereeza. Kwenye sauti inayosambaa mtandaoni Mrembo huyo amesema Rabadaba hakuwa na upendo wa kweli kwake kwani lengo lake kuu ilikuwa kutumia ndoa […]
Read More