MISS P AAGIZWA KUFUTA VIDEO YA SAKATA LA WILLY PAUL KUMYANYASA KIMAPENZI
Mahakama imemuagiza msanii Miss P kufuta video zote akimtuhumu Willy Paul kuwa alimdhulumu kimapenzi kwenye mtandao wa Youtube. Kupitia nyaraka ambazo Willy Paul ameshare kwenye ukurasa wake wa Instagram mahakama imemtaka msanii huyo afute video hizo mara moja la sivyo atakabiliwa kisheria iwapo atakwenda kinyume na agizo la mahakama. Ikumbukwe mwishoni mwa mwezi Agosti mwaka […]
Read More