Rapa Majirani afunguka sababu za kuacha kazi ya ujenzi katika nchini za miliki ya kiarabu
Rapa Majirani amefunguka sababu kuacha kazi ya ujenzi aliyokuwa anafanya nchini Qatar na Saudia Arabia. Kwenye mahojiano yake hivi karibuni amesema aliamua kurejeni nchini kwa ajili ya matatizo ya kifya yaliyotokana na kuzidiwa athari ya viwango vya juu vya joto katika nchini za miliki ya kiarabu Hitmaker huyo wa “Tukumbukeko” amesema kwa sasa ana mpango […]
Read More