Malcom Afichua Siri ya Sakata la Mulamwah na Ruth K

Malcom Afichua Siri ya Sakata la Mulamwah na Ruth K

Mwanamtandao maarufu kwa jina la Malcom amezua mjadala mkali mtandaoni baada ya kudai kuwa mchekeshaji Mulamwah na mama ya mtoto wake Ruth K wanalipwa makusudi ili kuwahadaa Wakenya na kuwapotosha kutoka kwenye masuala muhimu yanayoathiri nchi kwa sasa. Kupitia ujumbe aliouandika kwenye mitandao ya kijamii, Malcom alidai kuwa sakata ya mapenzi kati ya Mulamwah na […]

Read More