MWAMUZI WA MCHEZO WA TUNISIA NA MALI AZUA UTATA UWANJANI

MWAMUZI WA MCHEZO WA TUNISIA NA MALI AZUA UTATA UWANJANI

Hali ya sintofahamu imezuka baada ya mwamuzi Janny Sikazwe kutoka nchini Zambia kumaliza mpira kabla ya wakati kwenye mchezo wa Kundi F kati ya Tunisia dhidi ya Mali. Katika dakika ya 85 mwamuzi Janny alipuliza kipyenga kuashiria kumalizika kwa mchezo huo lakini baada ya vuta ni kuvute alibadili mawazo na kurejesha mchezo, lakini katika hali […]

Read More