Malkia Karen Avishwa Pete ya Uchumba na Mpenzi Wake Zack

Malkia Karen Avishwa Pete ya Uchumba na Mpenzi Wake Zack

Mwanamuziki wa Bongofleva, Malkia Karen, ameanza ukurasa mpya maishani baada ya kuvalishwa pete ya uchumba na meneja wake, Zack, ambaye pia ni mpenzi wake wa muda mrefu. Tukio hilo limejiri baada ya miaka minane ya wawili hao kuwa kwenye mahusiano. Katika video iliyoenea mitandaoni, Zack alionekana akimpelekea Malkia Karen zawadi maalum ikiwemo pete ya uchumba, […]

Read More
 MALKIA KAREN AKIRI KUACHA MUZIKI ASIPOSHINDA TUZO MWAKA HUU.

MALKIA KAREN AKIRI KUACHA MUZIKI ASIPOSHINDA TUZO MWAKA HUU.

Msanii wa Bongofleva, Malkia Kareen amesema mwaka huu asiposhinda tuzo kupitia wimbo wake mpya, Te Quiero ataacha muziki. Malkia Kareen amesema hayo kupitia XXL ya Clouds FM ambapo ameeleza wimbo huo anauona ukienda kufanya vizuri kwenye tasnia ya muziki Afrika Mashariki. “Nikikosa tuzo mwaka huu na huu wimbo naachana muziki,” amesema Malkia Karen. Utakumbuka Aprili […]

Read More