JINAMIZI LAZIDI KUMUANDAMA TRAVIS SCOTT,MSANII WAKE AAHIDI KUFUNGUKA MAZITO
Misala haiishi kwa Travis Scott, mwaka wa 2021 unakuwa mwaka mbaya kwake. Baada ya msala wa Astroworld sasa ni zamu ya msanii wake mpya Malu Trevejo Msanii huyo wa kike wa Travis anamshinikiza Rapa huyo kumuachia ajitoe kwenye uongozi wake kabla hajaanza kutoa ma-file yake mabaya Malutrevejo ameandika jumbe mbalimbali kupitia Instastory yake kwenye mtandao […]
Read More