RAYVANNY KUSHIRIKI KWENYE ZIARA YA MALUMA “PAPI JUANCHO” MWAKA WA 2022

RAYVANNY KUSHIRIKI KWENYE ZIARA YA MALUMA “PAPI JUANCHO” MWAKA WA 2022

Staa wa muziki kutoka nchini Tanzania, Raynvanny amehisiwa kuwa huwenda akashiriki ziara ya kimataifa ya nyota wa muziki wa nchini Colombia, Maluma. Rayvanny anahisiwa kuwa atashiriki ziara hiyo iliyopewa jina la album ya tano ya Maluma ‘Papi Juancho’ inayotarajiwa kuanza rasnu Februari 2021. Hii ni baada ya ujumbe wa Rayvanny kupitia ukurasa wake wa Instagram […]

Read More
 RAYVANNY ASHINDA TUZO UGANDA

RAYVANNY ASHINDA TUZO UGANDA

Mwanamuziki Rayvanny ameongeza tuzo katika kabati lake la tuzo baada ya kushinda tuzo ya Hipipo Music Award katika kipengele cha African Best Act 2021. Tuzo hizo kutoka Uganda zimemtaja Rayvanny kushinda tuzo kupitia wimbo wa Mama Tetema ambao ameshirikishwa na mwanamuziki kutoka Colombia Maluma, wimbo ambao ni Remix version ya wimbo wake wa Tetema. Wimbo […]

Read More