Mama Fina amkingia kifua mwimbaji wa Kadongo Kamu Hassan Nduga kwa tuhuma za wizi

Mama Fina amkingia kifua mwimbaji wa Kadongo Kamu Hassan Nduga kwa tuhuma za wizi

Mganga wa kienyeji kutoka nchini Uganda Mama Fina ameamua kumkingia kifua mwimbaji wa Kadongo Kamu Hassan Nduga baada ya kutuhumiwa kuhusika kwenye wizi wa pesa za kugharamia matibabu ya msanii Ronald Alimpa aliyehusika kwenye ajali mbaya ya barabarani wiki iliyopita. Mama Fina amenyosha maelezo kwa kusema kuwa hakumpa Hassan Nduga pesa za Ronald Alimpa kama […]

Read More