Breaking!

Founding of YouTube A Short History
Whales: Giants of the Ocean
Zari Hassan Atangaza Kuachana na Shakib Cham Baada ya Miaka 5
Bahati: Sitaki Michango ya Harusi, Gauni la Diana ni KSh Milioni 5
September 21, 2026
  • Home
  • Briefs
  • Entertainment
  • Gossip
  • LifeStyle
  • Tech
  • Sports

Tag: Manchester city

 Manchester City Yaishushia Brentford Kipigo cha Mabao 3-0 Etihad
Robert Elim May 10, 2026
Comments (0)

Manchester City Yaishushia Brentford Kipigo cha Mabao 3-0 Etihad

Manchester City imeendelea kuweka hai matumaini yake ya kutetea taji la Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) baada ya kuichapa Brentford mabao 3–0 katika dimba la Etihad jana usiku. Baada ya kipindi cha kwanza kumalizika bila goli, Manchester City ilirudi kivingine kipindi cha pili. Jérémy Doku alifungua milango ya mabao dakika ya 60 baada ya kupiga […]

Read More
 Manchester City Kumnasa Kiungo Chipukizi wa Norway kwa Shilingi Bilioni 2
Robert Elim June 15, 2025
Comments (0)

Manchester City Kumnasa Kiungo Chipukizi wa Norway kwa Shilingi Bilioni 2

Klabu ya Manchester City ipo katika hatua za mwisho kukamilisha usajili wa kiungo wa kati kutoka Norway, Sverre Halseth Nypan, kwa ada ya uhamisho inayokadiriwa kuwa Euro milioni 15, sawa na takribani Shilingi bilioni 2.1 za Kenya. Nypan, ambaye ana umri wa miaka 18, anatokea katika klabu ya Rosenborg BK ya Norway, ambako amecheza tangu […]

Read More
 Crystal Palace Yaandika Historia kwa Kuitandika Manchester City na Kutwaa Kombe la FA
Robert Elim May 18, 2025
Comments (0)

Crystal Palace Yaandika Historia kwa Kuitandika Manchester City na Kutwaa Kombe la FA

Katika moja ya matukio ya kushangaza zaidi kwenye historia ya soka ya Uingereza, Crystal Palace waliibuka mabingwa wa Kombe la FA kwa mara ya kwanza tangu klabu hiyo ianzishwe zaidi ya miaka 120 iliyopita, baada ya kuichapa Manchester City bao 1-0 katika Uwanja wa Wembley mbele ya maelfu ya mashabiki. Mchezo huo uligubikwa na kasi, […]

Read More
 Arsenal yaibamiza Manchester City magoli 5-1 huku Man United ikikubali kichapo Old Trafford
Robert Elim February 2, 2025
Comments (0)

Arsenal yaibamiza Manchester City magoli 5-1 huku Man United ikikubali kichapo Old Trafford

Klabu ya Arsenal iliibamiza Manchester city kipigo cha magoli matano kwa moja kwenye mechi ya ligi nchini England iliyochezwa leo ugani Emirates. Magoli ya Arsenal yalifungwa na Martin Odergard, Thomas Partey, Myles Lewis Skelly, Kai Havertz na Ethan Nwaneri dakika ya 2, 56, 62, 76 na 90+3 huku Earling Haaland akifungia Manchester city bao pekee […]

Read More

About Urban Spice

UrbanSpice.ke is Kenya's flavor-packed digital hub, delivering the hottest Entertainment, Sports, and Tech stories with a bold twist.

🔥 Spice Up Your Daily Buzz- One headline at a time.

Quick Links

  • Home
  • Briefs
  • Entertainment
  • Gossip
  • Lifestyle
  • Tech
  • Sports
  • Contact Us â–¼
    • 📧 info@urbanspice.ke
    • 📧 urbanspice254@gmail.com
    • 📞 0750 396 709
    • 💬 Chat on WhatsApp

Follow Us

Stay in the loop with the latest buzz.

Contact Us

Email 1:info@urbanspice.ke

Email 2:urbanspice254@gmail.com

Phone: 0750 396 709

WhatsApp: Chat on WhatsApp

© 2025 UrbanSpice.ke — All rights reserved.