Nahodha wa zamani wa Real Madrid Marcelo da Silva atangaza kustaafu soka
Nyota wa zamani wa Real Madrid, Marcelo Vieira da Silva Júnior almaarufu Marcelo raia wa Brazil ametangaza kustaafu soka la kulipwa akiwa na umri wa miaka 36. Kupitia kurusa zake za mitandao ya kijamii Marcelo ameandika .“Safari yangu kama mchezaji inaishia hapa lakini bado nina mengi ya kufanya kwenye mpira wa miguu. Asante kwa kila […]
Read More