Mariah Carey aandika historia Spotify
Wimbo wa Mariah Carey “All I Want for Christmas is You” umekuwa wimbo namba moja duniani baada ya kuvunja rekodi ya Spotify kwa kuwa na streams nyingi ndani ya saa 24. Ngoma hiyo imefanikiwa kufikisha streams zaidi ya milioni 21 siku ya krismasi kwa saa 24 tu Sanjari na hilo Mariah Carey pia anaendelea kuvuna […]
Read More