Mariga: Bahati Anatafuta Kiki, Sio Kusaidia Harambee Stars
Naibu Rais wa Shirikisho la Soka Nchini Kenya (FKF), McDonald Mariga, ameibua maswali kuhusu ahadi ya msanii Bahati ya kutoa KSh 1 milioni kwa wachezaji wa Harambee Stars. Kwenye mahojiano na SPM Buzz, Mariga amesema licha ya Bahati kutangaza hadharani mchango huo, hajawahi kuwasilisha fedha hizo kwa wachezaji kama alivyoahidi. Ameeleza pia kutoridhishwa na tabia […]
Read More