MARIOO AMUUNGA MKONO ERIC OMONDI

MARIOO AMUUNGA MKONO ERIC OMONDI

Kufuatia mjadala ambao anauendeleza mchekeshaji Eric Omondi akipaza sauti juu ya wasanii wa Kenya kutotendewa haki na waandaaji wa matamasha ya muziki, Staa wa muziki wa Bongofleva Marioo ameamua naye kuuvunja ukimya. Kwa asilimia mia moja Marioo ameziunga mkono harakati za Eric Omondi, ameamua kufunguka ya moyoni kwa kuisemea tasnia ya muziki Bongofleva  ambapo amedai […]

Read More