MARO ATANGAZA UJIO MPYA BAADA YA UKIMYA WA MUDA MREFU.
Msanii wa muziki kutoka nchini Uganda Maro ametangaza kurejea tena kweny tasnia ya muziki baada ya kuchukua mapumziko mwaka wa 2019. Kupitia ukurasa wake wa Facebook Maro amesema ataanza tena biashara mwezi Disemba mwaka huu ambapo ameweka wazi mpango wa kuanza kuwaandikia wasanii nyimbo lakini pia kufanya kollabo na wasanii wanaofanya vizuri nchini Uganda. “Muziki […]
Read More