Martha Mukisa atangaza kuachia EP yake mpya mwezi Desemba 2022

Martha Mukisa atangaza kuachia EP yake mpya mwezi Desemba 2022

Mwanamuziki anayekuja kwa kasi nchini Uganda Martha Mukisa ameweka wazi tarehe ambayo ataachia EP yake mpya inayokwenda kwa jina la Sisaaga. Hitmaker huyo wa “Sango” amethibitisha kwamba EP yake itaingia sokoni Desemba 9 mwaka huu ikiwa na jumla ya nyimbo saba za moto. Mukisa amemtaja Oman Rafiki na Liam Voice kama wasanii waliomsaidia kuandika nyimbo […]

Read More
 MARTHA MUKISA ASHTAKIWA KWA WIZI WA WIMBO

MARTHA MUKISA ASHTAKIWA KWA WIZI WA WIMBO

Mwanamuziki Martha Mukisa ameingia kwenye headlines nchini Uganda mara baada ya kutuhumiwa kuiba wimbo wa wasanii wa kundi la VTS Boys. Kulingana na wasanii hao Martha Mukisa aliimba mashairi yote ya wimbo wao uitwao “Its You” na kisha akaubadilisha jina kuwa “Ntibula” bila ridhaa yao baada ya kuuziwa wimbo huo na Nick Mulla ambaye aliwaandikia wimbo wao wa “Its […]

Read More
 MARTHA MUKISA AVUNJA KIMYA CHAKE KUHUSU UGOMVI WAKE NA EDDY YAAWE

MARTHA MUKISA AVUNJA KIMYA CHAKE KUHUSU UGOMVI WAKE NA EDDY YAAWE

Mwanamuziki chipukizi nchini uganda Martha Mukisa amevunja kimya chake juu ya ugomvi unaoendelea kati yake na Eddy Yaawe kuhusu umiliki wa wimbo wao uitwao “Neteze” Katika mahojiano na runinga moja nchini Uganda, mwimbaji huyo amefichua kwamba walikesha usiku kucha katika studio za Dream zinazomilikiwa na Eddy Yaawe wakirekodi wimbo wao mpya “Neteze”. Hitmaker huyo wa […]

Read More
 EDDY KENZO AMWAGIA SIFA MARTHA MUKISA, ADAI ANAMPA MOYO WA KUWASAIDIA WASANII CHIPUKIZI NCHINI UGANDA

EDDY KENZO AMWAGIA SIFA MARTHA MUKISA, ADAI ANAMPA MOYO WA KUWASAIDIA WASANII CHIPUKIZI NCHINI UGANDA

Msanii nyota kutoka nchini Uganda Eddy Kenzo anataka kila aliye karibu yake afanikiwe, amehamua kumpa maua yake Martha Mukisa akiwa hai. Hitmaker huyo wa ngoma ya “Weekend” kwenye mahojiano yake ya hivi karibuni amemsifia Martha Mukisa kwa kusema kwamba anapenda jinsi anavyofikiri lakini pia ubunifu wake kwenye muziki. Eddy Kenzo amesema Martha Mukisa amemempa moyo […]

Read More