Nahodha wa Arsenal Martin Ødegaard Aumia Goti

Nahodha wa Arsenal Martin Ødegaard Aumia Goti

Timu ya Arsenal imepata pigo kubwa baada ya nahodha wao, Martin Ødegaard, kujeruhiwa goti wakati wa kipindi cha kwanza katika mechi yao dhidi ya West Ham United iliyochezwa jana kwenye uwanja wa Emirates. Kiungo huyo wa Norway, ambaye amekuwa mhimili wa safu ya kati ya Arsenal tangu mwanzo wa msimu, aliumia baada ya kugongana na […]

Read More