Wily Paul Aanikwa na Martina kwa Kumsumbua kwenye DM
Mrembo na mwana mitandao kutoka Kenya, Martina, amezua gumzo mtandaoni baada ya kufichua kuwa msanii Wily Paul, ndiye staa ambaye amekuwa akimvizia kwenye DM kwa muda mrefu. Akipiga stori na kipindi cha Feast with Friends, Martina alijibu swali la mtangazaji aliyetaka kujua ni staa gani wa kiume ambaye amekuwa akijaribu kumtongoza au kumpigia mistari ya […]
Read More