Marya Aibua Matumaini Mapya Kwa Mashabiki Wake Baada ya Stroke

Marya Aibua Matumaini Mapya Kwa Mashabiki Wake Baada ya Stroke

Mwanamuziki Marya, anayejulikana kwa kibao kilichotikisa ‘Chokozza’, ameonyesha maendeleo ya kuridhisha katika safari yake ya kupona baada ya kupata ugonjwa wa kupooza (stroke) uliomweka kitandani kwa muda. Katika video mpya iliyoenea mitandaoni, Marya anaonekana akiwa mwenye furaha tele huku akisaidiwa kupata huduma ya pedicure na manicure katika kituo cha urembo cha Phoina Beauty. Hii imewapa […]

Read More
 Msanii Marya Alazwa Hospitalini Baada ya Kiharusi, Aomba Msaada wa Kifedha

Msanii Marya Alazwa Hospitalini Baada ya Kiharusi, Aomba Msaada wa Kifedha

Msanii maarufu wa Kenya, Marya, anayekumbukwa kwa kibao chake maarufu Chokoza alichomshirikisha Avril, kwa sasa amelazwa hospitalini baada ya kupata kiharusi (stroke). Taarifa zilizotolewa na marafiki wake wa karibu, akiwemo msanii Avril, zinaeleza kuwa Marya amekuwa akiendelea kupokea matibabu hospitalini kwa muda, na anatarajiwa kuruhusiwa hivi karibuni. Hata hivyo, hali yake bado si nzuri kwani […]

Read More