KUNDI LA MASAKA KIDS KUTOKA UGANDA LATAJWA KUWANIA TUZO ZA NICKELODEON KIDS CHOICE 2022

KUNDI LA MASAKA KIDS KUTOKA UGANDA LATAJWA KUWANIA TUZO ZA NICKELODEON KIDS CHOICE 2022

Kampuni ya Nickelodeon imeweka orodha ya majina ya watu walioteuliwa kuwania tuzo za Nickelodeon Kids Choice Awards mwaka 2022. Goods ni kwamba kwa upande wa Afrika Mashariki tunawakilishwa na Kundi la kucheza muziki kutoka nchini Uganda Masaka kids Africa ambao wamechaguliwa kuwania tuzo hizo mwaka huu kupitia kipengele cha Favourite African Kid Influencer ambapo watachuana […]

Read More