Mash Mwana Amshauri Bahati Awe na Msimamo Katika Muziki Wake
Mwimbaji wa nyimbo za injili nchini Kenya, Mash Mwana, amemkosoa msanii Bahati kwa kukosa msimamo katika muziki wake, akimtaka aelewe anachotaka kufanya badala ya kuchanganya muziki wa injili na ule wa dunia (secular). Kupitia Instastory yake, Mash Mwana amesema kuwa Bahati anapaswa kuamua iwapo anataka kuimba muziki wa injili au secular, badala ya kufanya vitendo […]
Read More